HOME

Jan 11, 2012

RAIS KIKWETE AWAANDALIA MABALOZI TAFRIJA YA MWAKA MPYA-SHERRY PARTY IKULU

Rais Jakaya Kikwete akizungumza na mabalozi aliowaandalia tafrija wa mwaka mpya-Sherry Party Ikulu Jijini Dar es salaam (Picha na Ikulu)

Rais Jakaya Kikwete katika picha ya pamoja na mabalozi aliowaandalia tafrija ya mwaka mpya -Sherry Party Ikulu jijini Dar es salaam (Picha na Ikulu)

No comments:

Post a Comment