Marehemu Mh. Jeremiah Sumari |
Mbunge wa Arumeru Mashariki Mh. Jeremiah Sumari amefariki dunia saa nane usiku wa kuamkia leo katika hospitali ya taifa Muhimbili.
Taarifa za kifo hicho zimethibitishwa na katibu mkuu wa bunge Dk. Thomas Kashilila ambapo ameahidi kutoa taarifa zaidi baadae.
No comments:
Post a Comment