HOME

Jan 30, 2012

JENGO JIPYA LA MAKAO MAKUU YA UMOJA WA AFRIKA ADDIS ABABA!!






















Jengo jipya la Makao Makuu ya Umoja wa Afrika (AU) lililozinduliwa na Rais wa China Bw Hu Jintao jijini Addis Ababa leo January 29,2012 Jengo hilo, ambalo limegharimu dola milioni za Kimarekani, limejengwa kwa udhamini wa China

No comments:

Post a Comment