HOME

Jan 27, 2012

MTOTO ALIYEZALIWA MAHABUSU NA ANAENDELEA KUKULIA MAHABUSU WAZAZI WAKE WATUHUMIWA KUKUTWA NA MADAWA YA KULEVYA!!

Mtoto Azra Vuko Jack akiwa amelala

Hili ndo gari la wazazi wa mtoto Azra na ambalo limedaiwa kuwa lilibeba dawa hizo za kulevya.

Msmaria mwema Emily Maituka ambaye amejitolea kumhudumia mtoto Azra huko Mahabusu kwa kumpelekea maziwa kila siku.

Baba na mama Azra wakiwa na mtoto wao wakisubiri kuingia mahakamani jana asubuhi.

 Azra akiwa amepakatwa na baba yake Vuyo Jack nje ya mahabusu ya mahakama kuu Mbeya


















Wakati Tanzania ikiwa imeridhia mkataba wa kimataifa wa 
kutekeleza na kulinda haki za watoto na kusimamia kwa karibu ulinzi wa haki za binadamu, sasa serikali ina kila sababu ya kuangalia haki za watoto walioko gerezani kwa makosa ya wazazi wao.


Miongoni mwa haki ambazo serikali inapaswa kuchunguza kwa undani na kubainisha kisa kilichosababisha mtoto mdogo wa kike wa miezi sita, Azra Vuyo Jack, ajikute yeye na wazazi wake wakiwa katika mahabusu ya gereza la Ruanda jijini Mbeya wakikabiliwa na tuhuma za kukutwa na dawa
za kulevya.


Azra ambaye kwa jina la utani, kwa mujibu wa uchunguzi uliofanywa na blog ya Mbeya yetu huko gerezani anaitwa Merryciana au bibi jela jina ambalo limezoeleka zaidi mbali ya jina lake halisi alilopewa na wazazi wake la Azra. 


Zaidi Ingia humu:
LINK: www.mbeyayetu.blogspot.com

No comments:

Post a Comment