Event ilifanyika Jumamosi pale Maisha Club ambapo watu kibao walijitokeza ku show love na kuwapa Support Presenters wa East Africa Radio ambao walikuwa wanawakilisha Team tatu Red, White and Yellow. |
MaDj Mahiri kutoka East Africa Radio walionyesha support ya kutosha sana kwa kupiga nyimbo kali kwa mbali ni Dj Mackey na Dj Nickyy HD wakifanya yao. |
Dj Nicky alihusika na ngoma kali za Reggae baada ya Baba T kumaliza Session yake zilipigwa Raggae zote unazozijua watu hawakukaa chini ilikuwa balaa. |
Dance Floor illikuwa kama hivi.... |
Watu wa rika mbalimbali walishow love kwa Show wanazopenda.. Mwenye Kofia nyekundu ni shabiki wa Supamix ambaye hakutaka kubaki nyuma so u can Imagine ilikuwaje. |
Ilifika wakati wa Presenters wa Show mbalimbali kujitambulisha.. Stejini ni Tony TBWAY 360 akifanya yake. |
Zembwela hakukosa hapo akitoa salam kwa mashabiki wake. |
Allan Lucky ''Rais wa wanafunzi'' nae alikuwepo Maisha Club kwenye Bata Friday iliyoandaliwa na East Africa Radio. |
Colletha Raymond Mtangazaji wa kipindi cha Weekend Breakfast cha East Africa Radio ambacho kinaruka kila siku ya Jumapili saa 12 kamili hadi saa nne kamili asubuhi akiwa pamoja na Michael Lukindo. |
Sebastiana Mwaikambo ''Weekend Worrier (Kulia), Grace Matata na Abdul Hassan. |
Dickson Msami kutoka kipindi cha Frday Night Live East Africa Tv |
DJ AD Mafuvu akiwa kwenye mashine alifanya kazi nzuri sana |
Seba, Grace Matata, Friend na Edson Kato |
Dayana Nyange nae alikuwepo |
Mtangazaji mahiri wa kipindi cha taarab Mwanne Othman wa Tam Tam za mwambao ya East Africa Radio |
#Team Red Kutoka kushoto Issac Lukando wa EA Breakfast, Ireen Tillya wa Supamix, Mary and Ian Dialo wa EA Breakfast. |
Sauda Wanguvu (Hotmix EATV) na Seba wametokelezea wakiwakilisha Team Yellow ingawa Sauda alishangaza watu kwa katinga Red wakati ni Team Yellow alitisha sanaa |
No comments:
Post a Comment