Wananchi waliofika katika studio za ITV Mikocheni leo mchana kutoa malalamiko |
Waathika wa mafuriko waliokuwa na nyumba zao katika eneo la Ananasif Kinondoni wameilalamikia serikali kuwabomolewa nyumba zao zilizo Ananasif na kutopatiwa viwanja eneo la Mabwe Pande kwa madai kuwa viwanja hivyo vimetolewa kinyemela.
Wakazi hao wakiongozwa na mjumbe wao wa nyumba kumi ambaye nae amedai kukosa viwanja vilivyotolewa na serikali Bw. Yusuph Zuberi Mnamba wamesema serikali haijawaqweka katika utaratibu huo labda kutokana na wao kwenda kujihifadhi kwa nfugu na jamaa zao na sasa wanabomolewa makazi yao.
No comments:
Post a Comment