HOME

Jan 24, 2012

MENEJA WA TOTTENHAM ASOMEWA SHTAKA!!

Meneja wa Tottenham Harry Redknapp




















Meneja wa Tottenham Harry Redknapp jana alisomewa shtaka akituhumiwa kuhamisha fedha nchi ya nje bila kulipa ushuru katika akaunti alitoifungua kwa kutumia jina la mbwa wake.


Katika shtaka hili pia inasemekana Redknapp alipokea bonas ya uhamisho wa wachezaji ya paundi 189,000 ambazo alikwepa kulipa ushuru na kuziweka fedha hizo katika akaunti ya Monaco nchini Ufaransa.


Waendesha mashitaka wamesema katika kipindi hicho ambacho Redhnapp alikuwa meneja na mkurgenzi wa timu ya Portsmouth alipata faida ya paundi millioni tatu ambazo klabu hiyo ilipata baada ya kumuuza mchezaji Peter Crouch.

No comments:

Post a Comment