JK akielekea jukwaani kuwahutubia wananchi baada ya kuweka jiwe la msingi kwa ujenzi wa soko la kijiji cha Mtamba,Morogoro vijijini. |
JK na ujumbe wake na wenyeji wakipita juu ya daraja jipya la Mtombozi,Matombo,Morogoro vijijini baada ya kulizindua |
JK na RC akivuka daraja jipya la Magogoni katika barabara ya Kiganda-Mvuha Morogoro vijijini Baada ya kuzindua. |
Jk akiongea baada ya kuzindua daraja la mto Mtombozi tarafa ya Matombo wilaya ya Morogoro mjini Leo |
No comments:
Post a Comment