KHALDOON AL-MUBARAK AISHUTUMU AC MILAN!!
Mwenyekiti wa klabu ya Manchester City Khaldoon al-Mubarak ameishutumu klabu ya AC Milan kwa jinsi ambavyo imekuwa ikijaribu kumsajili mchezaji Carlos Tevez na kuongeza kuwa timu hiyo ya Italia iko nje ya timu ambazo zinawewza kununua mchezaji huyo.
Khaldoon al-Mubarak amesema klabu za Inter Milan na Paris St Germain ndizo ambzo zinawewza kumsajili mchezaji huyo ambaye mpaka sasa ametozwa fainai ya ziada ya paundi milioni 1.2 kwa kuwa mtoro.
No comments:
Post a Comment