HOME

Jan 27, 2012

EFRAIN RIOS MONTT AFIKISHWA MAHAKAMANI!!

Efrain Rios Montt

Kiongozi wa zamani wa kijeshi nchini Guatemalan Efrain Rios Montt amefikishwa mahakamani akikabiliwa na mashtaka ya mauwaji ya kimbari na uhalifu dhidi ya binadamu.


Generali Rios Montt,mwenye umri wa miaka 85 alikuwa madarakani kuanzia mwaka 1982-1983, wakati nchi hiyo ilipokabiliwa na vita ya wenyewe kwa wenyewe na kutokea mauaji ya kutisha.


Katika vita hiyo vijiji vyote vya wakazi wazawa wa kabila la Mayans waliuwawa katika mauwaji ya kimbari ikiwa na jitihada za serikali wakati huo kuwashinda waasi wa mlengo wa kushoto.

No comments:

Post a Comment