HOME

Feb 17, 2012

MAMA ABEBESHWA MIMBA NA MTOTO WAKE,WATAKA KUFUNGA NDOA!!


Mwanamke mmoja raia wa Zimbabwe na mtoto wake wa kiume wamefanya kitu ambacho sirahisi kufikiria ambapo ameanguka katika mapenzi mazito na sasa wanataka kufunga ndoa baada ya mama Betty Mbereko kutoka mjini Mwenezi huko Masvingo kuwa na ujauzito wa miezi sita sasa na anatarajia kupata mtoto na mtoto wake.


Mwanamke huyo mwenye umri wa miaka 40 alifiwa na mumewe miaka 12 iliyopita na amekuwa katika uhusiano wa kimapenzi na mtoto wake wa kwanza Farai Mbereko mwenye miaka 23.


Mbereko amethibitisha kuwa na mimba ya miezi sita aliyobebeshwa na mtoto wake na ameamua kuwa ni vyema wakafunga ndoa kwa sababu hataki kuolewa na wadogo wa marehemu mume wake ambao wanataka kumrithi.

8 comments:

  1. This comment has been removed by a blog administrator.

    ReplyDelete
  2. nani alimwanza mwenzake!? jamani mbona hii ni hatari
    Shetani hafai jaman dunia inakwisha

    ReplyDelete
  3. Replies
    1. hii nikali mbayo itaendelea kubamba,nahapo tulipofikia nipabaya

      Delete
  4. duh! mchzi anazama alikotoka

    ReplyDelete
  5. Duh ila sometimes inakuwaga story tu hakuna ukweli maana sidhani Kama mtoto wa kiume anaweza kuamsha hisia kwa mama yake

    ReplyDelete