HOME

Jan 25, 2012

PETRA KVITOVA ATINGA NUSU FAINALI AUSTRALIAN OPEN!!

Petra Kvitova





















Bingwa wa Wimbledon Petra Kvitova amenusurika na hatimae kufanikiwa kutinga nusu fainali ya shindano la wazi la Australia baada ya kumfunga Sara Errani .


Sara ambaye hayupo katika ubora kiviwango katika michuano hiyo aliongoza kwa 4-1 seti ya kwanza na kumweka katika hali ngumu Kvitova ambaye aliweza kujikwamua  na kumaliza seti hiyo kwa 6-4.


Katika seti ya pili bado Kvitova alikumbana na ushindani mkubwa na kumaliza mchezo wa seti 6-4 6-4 na anatarajiwa kupambana na Maria Sharapova mchezo wa nusu fainali.

No comments:

Post a Comment