HOME

Jan 11, 2012

DK. CONRAD MURRAY ARUDI MAHAKAMANI KUTHIBITISHA KUWA MICHAEL JACKSON ALIJIUA MWENYEWE

Dk. Conrad Murray

Michael Jackso
Aliyekuwa daktari wa Mwanamuziki wa Pop dunianiani Michael Jackson, Dk. Conrad Murray amemuomba jaji anayeshughulikia kesi yake hiyo ya uhalifu kukataa ombi la familia ya MJ kulipwa fidia akisema kwamba mwanamuziki huyo alijisababishia kifo chake mwenyewe.


Murray amefungua jalada la kisheria akiomba ushahidi ambao upande wa utetezi haukuweza kuupokea wakati wa kesi ushahidi utakaoonyesha jinsi Michael alivyotumia vibaya dawa hiyo aina ya Propofol iliyomsababishia kifo chake.


Upanjde wa mashtaka unadai fidia ya takribani dola milioni 100 lakini jaji wa mahakama inayoyosikiliza kesi hiyo haajamua juu ya kiwango hicho lakini ikithibitika kuwa Michael Jackson anahusika na kifo chake mwenyewe hakimu anaweza kupunguza kwa asilimia 50.

No comments:

Post a Comment