![]() |
| Mkuu wa utumishi wa umma Francis Muthaura |
![]() |
| Mbunge wa Eldoret Kaskazini William Ruto |
![]() |
| Naibu waziri mkuu Uhuru Kenyatta |
![]() |
| Mtangazaji wa kituo cha radio Joshua arap Sang |
Watuhumiwa hao wana kesi ya kujibu katika mahakama ya kimataifa ya makosa ya uhalifu (ICC) kuhusiana na vurugu zilizoibuka mara baada ya uchaguzi mkuu nchini Kenya mwaka 2007/2008.




No comments:
Post a Comment