HOME

Jan 29, 2012

MKURUGENZI WA RADIO AUWAWA SOMALIA!!


















Mkurugenzi wa redio moja binafsi nchini Somalia amepigwa risasi na kuuwawa mjini Mogadishu.


Tovuti ya redio na televisheni ya kituo Shabelle, imeeleza kuwa watu wawili waliokuwa na silaha walimuuwa Hassan Osman Abdi karibu na nyumbani kwake ambapo haijulikani aliyefanya shambulio hilo.

No comments:

Post a Comment