HOME

Jan 17, 2012

BILL CLINTON AMSIFU MUHAMMAD ALI WAKATI LEO AKITIMIZA MIAKA 70!!

Rais wa zamani wa Marekani Bill Clinton

Muhamad Ali ambaye leo anatimiza miaka 70 akiwa na mkewe









































Rais wa zamani wa Marekani Bill Clinton amebainisha kuwa kipaji,ucheshi na dhamira ngumu za Muhammad Ali zimesaidia sana kuinua umaarufu wa mchezo wa ngumi duniani.


Clinton pia amemsifu Ali ambaye leo anatimiza miaka 70 kuwa alisaidia kutengeneza nji kwa rais Barack Obama kuwa rais wa kwanza mweusi wa Marekani ambapo amesema aliwafanya mamilioni ya watu kuamini alikuwa na kitu tofauti.


Bingwa mara tatu wa dunia uzito wa juu Ali alishinda katika mapambano 56 katika miaka 21 ya kazi yake.

No comments:

Post a Comment