Francis Muthaura |
Uhuru Kenyatta |
Taarifa zilizotufikia hivi punde zinasema kuwa aliyekuwa naibu waziri mkuu na waziri wa fedha Uhuru Kenyatta na Mkuu wa Utumishi wa Umma Francis Muthaura wamejiuzuru nyadhifa zao siku chache kbaada ya mahakama ya kinmataifa ya makosa ya uhalifu ICC kuthibitisha mashtaka yao kwamba wana kesi ya kujibu kufuatia kuhusika na vurugu zilizoibuka mara baada ya uchaguzi mkuu
nchini Kenya.
Njeru Githae ameteuliwa kuongoza wizara ya fedha huku Francis Kimemia akiwa mkuu wa utumishi wa umaa,taarifa zaidi utaendelea kupata hapo baadae.
No comments:
Post a Comment