Victoria Azarenka katika mchezo uliomwezesha kutinga fainali za tennis za Australian Open |
Victoria Azarenka ametinga katika fainali ya Australian Open baada ya kumfunga bingwa mtetezi Kim Clijsters kwa seti 6-4 1-6 6-3 katika mchezo uliopigwa leo asubuhi.
Ikiwa Victoria Azarenka atafanikiwa kushinda Gram slam ya kwanza katika fainali hiyo atakuwa mchezaji namba moja kwa ubora duniani akimpiku Caroline Wozniacki.
No comments:
Post a Comment