HOME

Jan 16, 2012

RAIS KIKWETE KATIKA MSIBA WA MBUNGE WA CHADEMA MAREHEMU REGIA MTEMA NYUMBANI KWA MAREHEMU TABATA.

Rais Kikwete akitoa mkono wa pole kwa mama mzazi wa marehemu.

Rais Kikwete akimpa pole baba wa marehemu nyumbani kwake Tabata DSM

Rais Kikwete pamoja na waziri mkuu Mizengo Pinda na Spika wa Bunge Bi. Anna Makinda kwenye msiba wa Mh. Regia Mtema nyumbani kwa baba yake Tabata Chang'ombe jijini Dar es salaam.

No comments:

Post a Comment