HOME

Jan 27, 2012

WATOTO WAWILI WAUAWA KINYAMA MKOANI MBEYA VIUNGO VYA MIILI YAO VYANYOFOLEWA!!

Mwili wa marehemu Silvia Isaya (5) aliyeuawa kisha viungo vya mwili wake kunyofolewa vikiwemo ulimi, jicho la upande wa kushoto, sehemu za siri na mguu wake wa kushoto kuvunjwa ukiwa umefunikwa kwa kitenge, kutokana na kuharibika vibaya hivyo kushindwa kuuonesha.

Wanafunzi wa Shule ya Msingi Nsenga jijini Mbeya wakitoka kushuhudia mwili wa mwanafunzi mwenzao wa darasa la Kwanza Silvia Isaya (5) alieuawa kisha viungo vya mwili wake kunyofolewa ulimi, jicho la upande wa kushoto, sehemu za siri na mguu wake wa kushoto kuvunjwa

Mwenyekiti wa Kijiji cha Nsenga Bwana Gibson Mwaselela (mwenye koti la rangi ya Samawati ), Baadhi ya wananchi wa Nsenga jijini Mbeya wakishuhudia mwili wa mwanafunzi wa darasa la Kwanza Silvia Isaya (5) alieuawa kisha viungo vya mwili wake kunyofolewa ulimi, jicho la upande wa kushoto, sehemu za siri na mguu wake wa kushoto kuvunjwa

No comments:

Post a Comment