HOME

Jan 17, 2012

UZINDUZI WA FILAMU YA 'MACHEO' ULIVYOWASHA MOTO PANDE ZA MAISHA CLUB!!

Film Director Wa Bonta Arts Production- Suleiman Barafu







Bonta Crew wakiwa Kwa Stage Ya New Maisha Club hapo yuko Diana na Sam










Bonta Crew Wakifanya makamuzi, Sam,Kibe,G-vas,Myth Tempo,Nittah, Diana na Abba One



Film director wa bonta arts production( Suleiman Barafu) mwenye tshirt nyekundu akiwa na mdau wa Bonta arts production

Sales& Marketing Manager Wa Bonta Arts Production( Benoga),Mark, Director wa Bonta Arts Production( Davis Kabole)

Hapo Bonta Crew ikiwa kwa stage mdada mwenye Pochi ya Pink ni Ritha Kabole ambaye ni Finance& Admnistration Manager Wa Bonta Arts Production Pia Country Director Wa Boutique Inaitwa Fashion tribe boutique ambayo viwalo vyote vya wasanii wa Bonta Crew vimetoka Fashion Tribe boutique liko maeneo ya Savei upande wa kulia kama waelekea udsm kabla ya daraja

1 comment: