HOME

Jan 30, 2012

NACTE YAANZISHA UTARATIBU MPYA!!

Katibu mtendaji wa NACTE Bw. Primius Didas Nkwera


















 Baraza la taifa la elimu ya ufundi nchini Tanzania (NACTE) limeanzisha utaratibu mpya wa mitaala ya kufundishia vyuo.

Katibu mtendaji wa NACTE Bw. Primius Didas Nkwera ameainisha mambo matatu ikiwa ni pamoja na kuanzisha utaratibu mpya wa kujiunga na elimu ya juu 2012 kwa vyuo vikuu na visivyo vikuu,ambapo Tayari usajili umetolewa kwa vyuo 20 January 16 mwaka huu kwa ufafanuzi kuwa hatua hiyo itadhibitisha chuo kikamilisha masharti ya uwapo wake. na tatu Chuo kitakacho endesha mafunzo bila mitaala hii,vyeti vyake havitotambuliwa

No comments:

Post a Comment