Rafael Nadal akipambana katika nusu fainali hiyo iliyomalizika hivi punde. |
Rafael Nadal amefunga Roger Federer katika mchezo uliomalizika mchana huu kwa seti 6-7,6-2,7-6,6-4 na kumwezesha kuingia moja kwa moja kwenye fainali za Australian Open zitakazochezwa siku ya Jumapili ambapo nusu fainali ya pili itachezwa kesho kati ya Andy Murray na Novak Djokovic.
No comments:
Post a Comment