HOME

Jan 23, 2012

TAARIFA YA RUTO BAADA YA KUTHIBITISHWA NA ICC!!

William Ruto



Ruto ametoa taarifa yake kuhusu kuthibitishwa kwa mashtaka yake na mahakama ya kimataifa ya makosa ya uhalifu ambapo amesema mashtaka hayo ni mageni kwake na kwakuwa hivi sasa yupo katika kinyang'anyiro cha urais hivyo amewaomba wakenya kuwa watulivu wakati yeye na mwanasheria wake wakiangalia suala hilo zima ikiwemo kakata rufaa.


Pia ameishukuru familia yake,mke wake mama na watoto wake kwa kuwa anajiamni kwamba hausiki na vurugu hizo.

Wakati huo huo mtangazaji wa radio Joshua Arap Sang amesema hakubaliani na uamuzi wa mahakama hiyo na yupo mbioni kukata rufaa kupinga.

No comments:

Post a Comment