J martins |
Mwanamuziki kutoka nchini Nigeria aliyefunga pingu za maisha hivi karibuni J martins anatarajiwa kutua Bongo Dar es salaam mwezi ujao kikazi zaidi.
J Martins ambaye kwa sasa yupo nchini Uingereza amezungumza katika Exclusive Interview kuwa anatarajiwa kupiga shoo siku ya wapendanao ''Valentines Day'' tarehe 14 Februari lakini mpaka sasa hajui nani atakayekayekuwa mwenyeji wake kutoka na dili hilo kupitia kwa Menejimenti ambayo imemtaarifu juu ya shoo hiyo.
Vile vile mwishoni mwa wiki hii ata release Single yake mpya ambayo haijaweka wazi kabla ya kutua hapa Bongo!!Ukitaka kujua mengi mengine zaidi endelea kutembelea Blog hii.
No comments:
Post a Comment