HOME

Feb 6, 2012

SUPRISE BIRTHDAY CAKE KWA SAM MISAGO TOKA KWA TUNDA MAN!!

Keki iliyotua ikiwa ni suprise toka kwa Tunda Man kitu MAN U






Happy Shame kutoka Marketing EATV akilishwa keki na Birthday Boy

Fadhili Kiwia kutoka Enews ya EATV

Producer mwenyewe akiwakilisha Skonga EATV

Mama Shughuli Zam Zam Muhidini On-Air Coordinator wa EATV

The Luckiest Dude Allive ''Allan Lucky'' hakupitwa na tukio hili


Mmiliki wa www.afrokija.blogspot.com Mutoto Muzuri Kijakas Yunus akipata Kipande chake

Mama Shughuli Bhoke Egina akijaribu kutoa direction ya kuweka mambo sawa
Bibie Olympya Fraten kutoka Marketing EATV akiwakilishting

Producer wa Best Shows FNL & Nirvana za EATV Bhoke akimlisha keki mtoto wake

Meeennaa kutoka The Official East Africa Chart Show ya East Africa Radio





























































Wakaka wa EATV kutoka Desk la 5Sport Patrick Nyembera (kushoto),Marco Killo (kulia) wakiwa na birthday boy sam misago wa Power Jams ya East Africa Radio kila Siku saa saba mpaka kumi kamili jioni ndani ya East Africa Radio

No comments:

Post a Comment