HOME

Jan 17, 2012

RAIS KIKWETE AZINDUA JENGO LA MDHIBITI NA MKAGUZI MKUU WA FEDHA ZA SERIKALI MOROGORO!!

Rais Jakaya Kikwete akipokea zawadi  toka kwa Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu
wa Serikali Bw Ludovick Utouh katika hafla ya uzinduzi wa  jengo jipya la
Ofisi za Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Serikali la Mkoa wa Morogoro mjini
Morogoro leo January 17, 2012. wengine ni Waziri wa Katiba Mh Celina
Kombani (wa pili kushoto) Mkuu wa Mkoa wa Morogoro Mh Joel Bendera na mkuu
wa Wilaya ya Morogoro

 Rais Jakaya Kikwete akizindua jengo jipya la Ofisi za Mdhibiti na
Mkaguzi Mkuu wa Serikali la Mkoa wa Morogoro mjini Morogoro leo January 17,
2012. Nyuma yake ni   Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Serikali Bw Ludovick
Utouh na Mkuu wa Mkoa wa Morogoro Mh Joel Bendera

Rais Jakaya Kikwete akikata utepe kuzindua jengo jipya la Ofisi za
Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Serikali la Mkoa wa Morogoro mjini Morogoro leo
January 17, 2012. Kushoto  yake ni   Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa
Serikali Bw Ludovick Utouh na kulia ni Mkuu wa Mkoa wa Morogoro Mh Joel
Bendera

Rais Jakaya Kikwete akielekea kupanda mti baada ya kuzindua jengo
jipya la Ofisi za Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Serikali la Mkoa wa Morogoro
mjini Morogoro leo January 17, 2012. Pamoja naye  ni   Mdhibiti na Mkaguzi
Mkuu wa Serikali Bw Ludovick Utouh

No comments:

Post a Comment