HOME

Jan 13, 2012

MANNY PACQUIAO AKUBALI PAMBANO NA MAYWEATHER!!

Manny Pacquiao

Floyd Mayweather
Bondia Manny Pacquiao amekubali kupigana na bondia Floyd Mayweather lakini angependa pambano hilo lifanyike mwishoni mwa mwezi May na siyo tarehe 5 May kama alivyopendekeza Mayweather.


Bado kuna vikwazo katika pambano hilo ambalo linatajwa kuwa bora ambapo Jumatano wiki hii  Mayweather alimtaka Pacquiao kuupa ulimwengu kile kinachotaka na kuanisha kuwa yuko tayari kupigana.


Pamoja na kukubali pambano hilo Pacquiao amesema hata hivyo kambi ya Mayweather haijauhakikishia upande wake kuhusu masuala ya malipo.

No comments:

Post a Comment