Jan 10, 2012
Just In:WATU WAWILI WAMEKUFA KWA KUFUKIWA NA KIFUSI KUNDUCHI JIJINI DAR ES SALAAM!!
Watu wawili wamefariki dunia baada ya kufukiwa na kifusi katika machimbo ya kokoto eneo la Kunduchi nje kidogo ya jiji la Dar es Salaam.
Kamanda wa polisi mkoa wa Kinondoni, Charles Kenyela ambapo waliofariki wametambulika kwa jina moja la Ngosha na Mudi.
Kwa mujibu, wa kamanda Kenyela, watu hao wamefariki alfajiri ya leo wakati walipoingi kenye shimo hilo, lililochimbwa mithili ya andaki ambapo amemuagiza mkuu wa polisi wilaya ya Kawe kuwakamata watu wote watakaokutwa wakichimba kokoto na kifusi katika eneo hilo.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment