Mark Hughes |
Mark Hughes amepewa nafasi kubwa ya kuchukua nafasi ya Neil warnock na baada ya mazungumzo siku ya Jumanne, amesema: "Tunatakiwa kujadili masuala kadhaa, lakini mazungumzo yalikwenda vizuri."
Mwenyekiti wa QPR Tony Fernandes aliandika kwenye ukurasa wake wa Twitter siku ya Jumanne kuwa ana hakika watakuwa wakitangaza meneja mpya wa QPR leo.
QPR iko katika nafasi ya 17 katika ligi kuu ya England na wamecheza mechi nane bila ushindi.
Mkurugenzi mkuu wa QPR Philip Beard lisema watakamilisha mambo yote leo.
No comments:
Post a Comment