HOME

Jan 10, 2012

HOSPITALI YAKANUSHA BEYONCE NA JAY Z KULIPIA GHOROFA NZIMA!!

Beyonce na Jay-Z


Hospitali ya Lenox Hill imekanusha kuwa Beyonce na Jay-Z walilipa dola milioni 1.3 ili mwanamuziki huyo ajifungue mtoto wake katika floor nzima binafsi.


Taarifa kutoka hospitalini hapo zinadai kuwa ripoti zilizotolewa na vyombo mbaliombali vya habari kuwa wanandoa hao walilipa dola milioni 1.3 kukodi floor nzima ya hospitali ili Beyonce ajifungue SI ZA KWELI.


Taarifa hiyo inaongeza kuwa familia hiyo iliwekwa katika chumba maalum hospitalini hapo na imetozwa bila ya kawaida kwa ajili ya huduma hiyo.

No comments:

Post a Comment