![]() |
Sir Alex Ferguson |
Meneja Sir Alex Ferguson wa Machester United anaangalia uwezekano wa kusajili kiungo mahiri wa Chelsea ambaye amekuwa hahakikishiwi nafasi katika kikosi cha kwanza cha timu hiyo
Machester inakabiliwa nawakati mgumu katika nafasi ya kiungo kufuatia wachezaji wengi kuwa majeruhi na Fergusson anahaha kuhakikisha kuwa mahasimu wao wakubwa timu ya Machester City haiwaachi mbali katika ligi
No comments:
Post a Comment