HOME

Jan 8, 2012

BEYONCE AJIFUNGUA MTOTO WA KIKE!!!

Beyoncé na Jay-Z

Lenox Hill hospital

Wanamuziki waliofunga ndoa Beyoncé na Jay-Z
wamempokea mtoto wao wa kwanza wa kike waliyempa jina la,Ivy Blue Carter.


Mwanamuziki huyo mwenye miaka 30-year amejifungua mtoto wake katika hospitali ya  Lenox Hill hospital ya jijini New York nchini Marekani jana Usiku ambapo vyanzo kadhaa vya habari vimethibitisha taarifa hizo.


Watu mbalimbali maarufu duniani wameanza kutuma pongezi zao kupitia mtandao wa Twitter huku Russell Simmons na Rihanna wakiwa wa kwanza.

No comments:

Post a Comment