HOME

Jan 9, 2012

OGOYO NENGO NDANI YA SAUTI ZA BUSARA!!


Ogoya Nengo



Tamasha la mwaka huu la Sauti Za Busara ambalo huwa linafanyika Zanzibar litapata fursa ya kumshuhudia msanii mkongwe Ogoya Nengo kutoka nchini Kenya akifanya mambo makubwa jukwaani.


Ogoya ni mwanamuziki mkongwe ambaye kwa miaka mingi amekuwa akifahamika kama mtaalam wa kuimba miondoko ya dodo ambapo muziki wake unafahamika kwa sauti yake nzito na yenye nguvu ikifuatiliwa na midundo ya ngoma za asili.

No comments:

Post a Comment