![]() |
Selemani Semunyu. |
![]() |
Waziri wa afya Dk. Haji Mponda na Semunyu ndani ya Dakika 45 |
Waziri wa afya na ustawi wa jamii nchini Tanzania Dk. Haji Mponda amewataka madaktari walio katika mafunzo kwa vitendo waliofukuzwa katika hospitali ya taifa Muhimbili kwenda wizara ya afya kuwasilisha madai yao ili waweze kupangiwa vituo vingine vya mafunzo.
Kwa mengi zaidi usikose kufuatilia mahojiano ya waziri Mponda katika kipindi cha DAKIKA 45 Leo Jumatatu saa tatu kamili Usiku ITV Pekee ukiwa na mtangazaji wako Selemani Semunyu.
No comments:
Post a Comment