![]() |
Renato Canova |
Kocha wa mbio za Marathoni anayetajwa kuwa bora duniani Renato Canova, amebashiri kwamba rekodi ya dunia inayoshikiliwa na raia wa Kenya Patrick Makau itavunjwa wakati wa majira ya kiangazi.
Canova pia amesema zaidi ya wanaridha nane watakimbia kwa kazi zaidi ya masaa mawili na dakika nne.
Canova raia wa italia ambaye amewahi kuwanoa ikiwa ni pamoja na Moses Mosop ambaye amewahi kushikilia rekodi ya dunia na bingwa mara mbili wa dunia Abel Kirui na wengine wengi amesema huenda rekodi ya Makau ikavunjwa Rotterdam kuliko jijini London.
No comments:
Post a Comment