Kubica katika mahojiano ya kwana baada ya kupata ajali |
Ajali ya Kubica aliyopata mwaka 2011 |
Jinamizi la ajali bado linaendelea kumfuata Dereva wa Fomular 1 Robert Kubica ambaye amevunjika mguu wa kuume katika ajali iliyotokea nyumbani kwake Italia.
Kubica ambaye alikuwa katika harakati za kurudia mchezo kufuatia ajali mbaya aliyoipata mwaka mmoja uliopita amevunjika mguu ambao ulivunjika katika ajali ya mwaka uliopita.
Kubica Anatarajiwa kufanyiwa upasuaji ambao atawekewa chuma juu kidogo ya fundo la mguu na kuvaa POP kwa mwezi mzima.
No comments:
Post a Comment