![]() |
| Washiriki mbalimbali waliohudhuria shughuli ya women in balance kitchen party Gala iliyofanyika siku ya Jumamosi katika ukumbi uliopo Mikocheni. |
![]() |
| Waandaaji wa shughuli hiyo Dina Marios na Vida Mndolwa |
![]() |
| Moja kati ya bloggers maarufu wa Tanzania Shamim Mwasha mmiliki wa 8020's fashions akielezea machache kuhusu siku ya wanawake duniani itakayofanyika march 3 mwaka huu katika ukumbi wa Serena Hotel |
![]() |
| Mburudishaji wa siku hiyo Nyota waziri |
![]() |
| Mmoja wa wasemaji mama Victor |
![]() |
| Mc wa shughuli Dina Marios |
![]() | ||
| Wasemaji mama Victor na Bi Chau | ZAIDI INGIA HUMU |









No comments:
Post a Comment