HOME

Feb 6, 2012

''SIKUBALIANI NA FA KUMVUA UNAHODHA TERRY''-CAPELLO

Fabio Capello

Meneja wa timu ya taifa ya Uingereza ya soka Fabio Capello amesema hakubaliani na uamuzi wa bodi ya FA kumvua unahodha wa timu hiyo John Terry.


Terry alivuliwa unahodha wa timu hiyo wakati akisubiri kesi ambayo itasikilizwa mwezi July akituhumiwa kutoa matamshi ya ubaguzi dhidi ya mchezaji wa QPR Anton Ferdinand,Capelo amesisitiza kwamba hakubaliani na uamuzi wa mwenyekiti wa FA David Bernstein.

No comments:

Post a Comment