HOME

Feb 14, 2012

KIWANGO CHA UMASKINI CHAONGEZEKA NIGERIA!!


Takwimu zimeonyesha kuwa kiwango cha umaskini kimeongezeka nchini Nigeria kwa takribani 100 nchini humo kuishi chini ya dola moja kwa siku licha ya uchumi wa nchi hiyo kukua.


Shirika la takwimu nchini humo limesema asilimia 60.9 ya wanaigeria mwaka 2010 walikuwa wanaishi katika umaskini uliokithiri ambapo kiwango hicho kimekua kutoka asilimia 54.7 mwaka 2004.


Shirika hilo limetabiri kuwa hali hiyo inaweza kuendelea ambapo nchi hiyo  mzalishaji mkubwa wa mafuta lakini sekta hiyo imekumbwa na kashfa ya rushwa.

No comments:

Post a Comment