HOME

Feb 9, 2012

SYRIA YAZIZIMA,HALI BADO TETE!!


Wanaharakati nchini Syria wamesema kuwa Jeshi nchini humo limeendelea kushmabulia katika mji wa Homs hivi sasa na kuua watu 13.


Wilaya kadhaa zimeendelea kushikiliwa na vikosi vya waasi na mji wa tatu kwa ukubwa nchini Syria unaoongoza kwa maandamano ya kupinga utawaka wa rais  Bashar al-Assad.


Maelfu wa watu wameuwawa tangu majeshi ya nchi hiyo yalipoanza mashambulizi na kuua watu wiki iliyopita.

No comments:

Post a Comment