HOME

Feb 17, 2012

CRANES KUPAMBANA NA MISRY KUWANIA KUFUZU MATAIFA YA AFRIKA!!

Cranes ilipopambana na Cranes katika mfululizo wa mechi hizo

















Timu ya Taifa ya Uganda itacheza na Misri katika mechi ya kimataifa ya kirafiki, ikijiandaa na mchuano wa kuwania kufuzu fainali za Mataifa ya Afrika mwaka 2013 dhidi ya Congo Brazzaville.


Kwa mujibu wa barua ya wakala wa mechi Sport Global Management iliyotuma Jijini Kampala imethibitisha mechi hiyo kuchezwa Februari 25 huko Cairo.


Kocha wa timu ya taifa ya Uganda Bobby Williamson kwa sasa yupo na kikosi cha wachezaji 21 wa Cranes ambao wanajifua kwa ajili ya mechi hiyo ya kirafiki.

No comments:

Post a Comment