HOME

Feb 17, 2012

CHISORA ATAMBA KUMTWANGA VITALI!!


Dereck Chisora ametamba kuwa anaweza kutwaa ubinga wa dunia kwa kuwa hatabiriki na kwamba hajui ni kitu gani kitatokea, umesema mtandao wa The Sun.


Del Boy atapambana na bingwa mtetezi wa WBC, Vitali Klitschko mjini Munich kesho Jumamosi ambapo ameahidi kuibuka na ushindi wa KO katika raundi ya nane.


Chisora anatumaini kuwa atafuata nyayo za mpiganaji mahiri wa zamani wa Uingereza, Lennox Lewis ambaye limtwanga Vitali mwenye urefu wa futi sita na ichi saba.


Alisema: " Ninaahidi kuwa ninasonga mbe kuanzia kengele ya kwanza, katika raundi ya nane atakwua mepigwa kwa KO.

No comments:

Post a Comment