HOME

Feb 17, 2012

KILA LA KHERI PRODUCER LUCCI DA DON!!
























Siku ya wapendanao VALENTINE'S DAY  baaada ya mwaka mmoja na nusu , producer wa Cpwaa, Lucci aliamua kumuonyesha mchumba wake, Miss Dar city center and Miss Ilala 2005, Feza Kessy kuwa yuko serious na kumchumbia...and she said YESSSS.


He proposed at Nyumbani Lounge on one knee...Romantic kweli.
Congratulations and all the best guys.


Kupitia akaunti yake ya Twitter Fezza aliamua kuthibitisha kwa kuweka picha ya kidole chake kilichovishwa pete.


Kila la Heri Producer Lucci na Fezza Kessy.

No comments:

Post a Comment