HOME

Feb 12, 2012

''THE JUNCTION''RESTAURANT MPYAA JIJINI!!
























THE JUNCTION RESTAURANT.........Ni kijiwe kipya jijini kilichofungulia hivi karibuni maeneo ya Mbezi beach Africana karibu na mbezi Tiles......


Hapo utapata chakula safi kilichopikwa na wapishi wenye utaalamu wa hali ya juu kuanzia Breakfast,lunch Mpaka Dinner.....utapokelewa na wahudumu makini wakarimu wanaojua kazi yao vizuri huku ukipata upepo mwanana katika mazingira safi na tulivu ya ''THE JUNCTION''


Pia tunapokea oda za vyakula kwa shughuli mbalimbali kama harusi,misiba,Send off,kitchen Party n.k.
Pia Tunatoa huduma ya kusambaza vyakula maofisini na makampuni mbalimbali.


Kwa mawasiliano Zaidi Piga,wasiliana nao kupitia namba 0713 922 717


KARIBU SANAAAAA.........'

No comments:

Post a Comment