AL-SHABAB WALIPUA BOMU KARIBU NA MGAHAWA MOGADISHU!!
Takribani watu 15 wameuwawa na wengine zaidi ya 20 kujeruhiwa baada bomu lilikouwa ndani ya gari kulipuka karibu na mgahawa katika mji mkuu wa Somalia,Mogadishu.
Gari hilo liliegeshwa karibu na mgahawa huo wa Muna ambapo kundi la kigaidi la Al Shabaab limekiri kuhusika na tukio hilo lililotokea jana mchana.
No comments:
Post a Comment