HOME

Feb 3, 2012

FIFA YATAKA MAELEZO YA VURUGU ZA UWANJANI ZILIZOSABABISHA VIFO NCHINI MISRI!!


Shirikisho la soka duniani Fifa limedai kupata ripoti kamili kufuatia vurugu zilizosababisha vifo vya watu 74 nchini Misry baada ya mechi ya mpira wa miguu kati ya vilabu vya Al-Ahly na Al Masry  siku ya jumatano.


Rais wa shirikisho la soka duniani FIFA Sepp Blatter amemwandikia rais w shirikisho la soka nchini Misry Samir Zaher kupata maelezo.


Wakati huo huo makamu wa zamani wa rais wa FIFA  Lennart Johannson amemtaka rais wa sasa wa Fifa Sepp Blatter  kujiuzuru,Johanson ameliambia shirikika la utangazaji la Uingereza bbc kuwa haiwezekani mtu mmoja afanye maamuzi yote yanayohusu mpira duniani

No comments:

Post a Comment