HOME

Feb 17, 2012

BOBBY BROWN ATUMIWA MWALIKO WA MAZISHI YA WHITNEY!!


Familia ya marehemu Whitney Houton imemtumia Bobby Brown mualiko katika msiba wa mwanamuziki huyo ambao toka awali ulitangazwa kuwa utafanyika ukiwashirikisha familia na watu wa karibu tu siku ya kesho.


Oprah pia na Kevin Costner ni miongoni mwa watu maarufu ambao pia wamealikwa katika msiba huo na pia imefahamika kuwa Aretha Franklin pamoja na Stevie Wonder watafanya onyesho la nyimbo maalum katika mazishi hayo.


Katika kuonyesha yupo kikazi za idi, Bobby pia ana ratiba ya kufanya onyesho huko Connecticut saa chache tu baada ya mazishi hayo, na ameshathibitisha kuwepo kutoa burudani ya kutosha kwa mashabiki wake.

No comments:

Post a Comment