HOME

Feb 16, 2012

MKURUGENZI WA ZAMANI WA KAMPUNI YA KUTENGENEZA CAMERA AKAMATWA!!


Mkurugenzi wa zamani wa kampuni kubwa ya kutengezea camera aina ya  Olympus nchini Japan Tsuyoshi Kikukawa na watendaji wengine wawili wamekamatwa ikiwa na sehemu ya upelelezi unaoendelea ndani ya kampuni hiyo.


Kampuni hiyo inachunguzwa kwa kuficha mahesabu yanayoonyesha kampuni hiyo imepata hasara ya dola billioni 1.7 katika kipindi cha miongo miwili.


Kikukawa alijiuzuru mwezi Octoba mwaka jana baada ya kashfa hiyo kuibuka na kampuni hiyo imewashtaki watendaji wa zamani na wa sasa kuhusiana na suala hilo.

No comments:

Post a Comment