HOME

Feb 6, 2012

DENZEL WASHINGTON NA SCARLETT JOHANSSON WAPOKEA TUZO KUBWA ZA HESHIMA!!




Scarlett Johansson na Denzel Washington

Scarlett Johansson


Waigizaji mahiri wa Marekani, Scarlett Johansson pamoja na Denzel Washington wamepokea tuzo zenye heshima ya juu kabisa za Golden Camera kutoka Ujerumani kama waigizaji bora wa kimataifa.


Wakati wakipokea tuzo zao hivi karibuni, Johansson pamoja na Washington wamesema kuwa wanajisikia furaha sana kuona kuwa kazi yao inakubalika pia, nje ya mipaka ya nchi yao.

No comments:

Post a Comment